- Elius' Letters
- Archive
- Page -28
Archive
175. Jinsi ya Kutengeneza Client Funnel kwa Kutumia AI
Leo nakuonesha jinsi Biashara kubwa duniani hazifanyi kazi kwa kubahatisha. Wanatengeneza funnel, safari ambayo mteja anapitia hatua kwa hatua, kutoka stranger mpaka kuwa loyal buyer. Na leo, wewe pia unaweza kuifanya hiyo safari iwe rahisi kwa kutumia AI.

AI Personal Branding Masterclass: Jinsi ya Kujenga Brand Inayokuletea Wateja Daily kwa 3 Months tu
Kwa nini njia ya zamani ya personal branding kwenye Social Media zimechoka, na jinsi AI inavyokuwezesha kukwepa struggle ya ushindani hasara kwenye Matangazo ya kulipia na kujenga legacy brand ndani ya siku 90. Tizama Full training hapa chini

278: Step-by-Step: Kugeuza Content Isiyouza Kuanza Kuleta Mauzo Haraka
Mjasi, nakuandikia hii barua leo kwasababu nimeona Wajasiriamali wengi wanakaa na kujiuliza kwanini content zao hazibadiliki kuwa mauzo, leads, au hata DM zenye maana. Na mara nyingi, tatizo sio kwamba bidhaa yako haivutii, lakini kwa Experience yangu ya kufanya kazi na wataalamu nimegundua ni content zako tu zenyewe hazifanyi kazi yake. Na ntakuonesha mambo 5 ambayo huwa tunafanya.










